Saturday, September 29, 2012

ZITTO KABWE: 2015 SITAGOMBEA UBUNGE

ZITTO KABWE: 2015 SITAGOMBEA UBUNGE

Baada ya kusikia kupitia vyombo mbali mbali vya habari kuwa Mh mbunge wa Kigoma Mjini Zitto ametangaza kuwania kiti cha uraisi ifikapo mwaka 2015, Zitto ameendelea kusisitiza msimamo wake kupitia mtandao wa jamii wa Facebook
Zitto Kabwe
Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005

RAIS KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU, DAR ES SALAAM, LEO

RAIS KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU, DAR ES SALAAM, LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika ramani ya Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.PICHA NA IKULU

WAZIRI MKUU APIGIA KURA VIVUTIO VYA TANZANIA

WAZIRI MKUU APIGIA KURA VIVUTIO VYA TANZANIA


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Peter akipata maelekezo ya namna ya kupiga kura yake kutoka kwa Meneja wa Tawi la Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) Arusha Bw. Wily Lyimo muda mfupi kabla ya kupiga kura yake katika kituo cha Mikutano cha AICC mjini Arusha hivi karibuni.

Na Geofrey Tengeneza

Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda  hivi karibuni amepiga kura yake ya kuvichagua vivutio vitatu vya Tanzana katika shindano linaloendelea hivi sasa la kutafuta maajabu Saba ya asili ya Afrika.

Waziri Mkuu alipiga kura yake wakati wa mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF uliofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa AICC mjini Arusha ambapo Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliweka kituo cha kupigia kura kwa njia ya mtandao wa komputa (internet).

Waziri Mkuu alivipigia kura vivutio hivyo vitatu ambavyo ni Mlima Kilimanjaro, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Kreta ya Ngorongoro ili viweze kuwa miongoni mwa maajabu Saba ya Asili barani Afrika.

 Viongozi wengine waliopiga kura zao wakati wa mkutano huo katika kituo hicho cha Bodi ya utalii Tanzania ni pamoja na Waziri wa Kazi na Ajira  Mh.Gaudensia Kabaka, Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh.Henry Mwanri na viongozi mbalimbali wa LAPF.

Bodi ya Utalii Tanzania hivi sasa inaendesha kampeni kamambe ya kuwahamasisha watanzania kuvipigia kura vivutio hivyo, na katika mkutano huo iliamua kupiga kambi katika kituo hicho cha mikutano ya Kimataifa cha AICC kwa lengo la kuwahamashishawajumbe wa mkutano huo na kuhakikisha wale ambao hawajapiga kura wanapiga kura zao katika kituo hicho hapo AICC zoezi ambalo lilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Tanzania ni nchi pekee barani Afrika iliyoingiza vivutio vingi katika shindano hilo ambapo imefanikiwa kuiongiza vivutio vitatu.


DK. SHEIN AONGOZA HARAMBEE YA UCHANGIAJI WA WALEMAVU ZANZIBAR

DK. SHEIN AONGOZA HARAMBEE YA UCHANGIAJI WA WALEMAVU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk ali Mohamed Shein akitoa hotuba katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika leo katika hoteli ya Zanzibar Beach Ressort.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba na maelezo kuhusu mfuko wa watu wenye ulemavu,katika hafla ya kuchangia mfuko huo iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.


Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akimkabidhi Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamad picha ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume iliochorwa kwa Mkono na ambayo imeuzwa shiling 1,200,000 katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.

UZINDUZI WA JAFFARAI CAR WASH AT OILCOM MIKOCHENI

UZINDUZI WA JAFFARAI CAR WASH AT OILCOM MIKOCHENI

  Sasa ipo tayari kwa ajili yako tu dzain kama una ndiga yako ebu sogea pande hizo bhana.


HIKI NDICHO ALICHOANDIKA DIAMOND KUHUSU BIRTHDAY YA WEMA SEPETU

HIKI NDICHO ALICHOANDIKA DIAMOND KUHUSU BIRTHDAY YA WEMA SEPETU

Tunafahamu kwamba mwana dada sepetu leo ni siku yake ya kuzaliwa sasa bhana mtu mzima Diamond wa wasafi amefunguka katika website yake kama ifuatavyo""Happy Birthday Sepetu wa Sepetunga"....coz kiukweli ni mtu ambae kwa namna moja au nyingine anamchango mkubwa sana katika Mafanikio yangu hadi kufikia hapa nilipo, Sikuzote amekua akinipa Moyo, Motisha,Nguvu na kunisupport kwa hali na mali ili tu niweze kufika Mbali zaidi..toka kwenye "Upenzi" hadi leo kwenye "Cousins" mixer "Ushemlake" ni mbali sana nimetoka nae...narudia tena kusema nina BOOooonge la furaha na kila sababu ya kumwambia "Happy birthday Sepetu wa sepetunga" wish you all the best mama.....Maisha marefu yenye amani na Mafanikio tele..........wote tuseme Aaaamen!Hicho ndicho alichokiandika bwana Diamond platinum katika site yake.

Sunday, September 23, 2012

CAMP MULLA WAMEKUWA NOMINATED KWENYE M.O.B.O AWARDS

CAMP MULLA WAMEKUWA NOMINATED KWENYE M.O.B.O AWARDS
Kutoka pande za 254 nairobi wasanii wanaozidi kupeperusha bendera ya nchi yao huko Kenya hawa si wengine wanajulikana kwa jina la Camp mulla wamekuwa nominated katika tuzo za M.O.B.O ambazo zinatolea nchini Uingereza.Chakushangaza ni kwamba mashabiki wengi wa muziki wao wanasema kundi ili linafanya mziki wa “BubbleGum” lakini tukiangalia tovuti ya MOBO wameweza kuteuwa kundi hili la Camp mulla katika kuwania tuzo za MOBO ambazo zitatolewa maeneo ya Liverpool Echo Arena tarehe 3 mwezi wa Novemba mwaka huu.
Hii ndiyo list ya wasanii ambao watachuana na Camp Mulla kwenye Category ya Best African Act.
Best African Act:
Fatoumata Diawara
P Square
The Very Best
Spoek Mathambo
D’Banj
Fally Ipupa
Sarkodi Duncwills
Cabo Snoop
Camp Mulla
Amadou and Mariam
Kuwapigia kura Camp mulla ingia hapa http://www.mobo.com/voting

DOGO JANJA APEWA JINA LA JANJARO BAADA YA KUFIKISHA MIAKA 18

DOGO JANJA APEWA JINA LA JANJARO BAADA YA KUFIKISHA MIAKA 18
Ni moja kati ya wasanii ambao wanatokea panda za Arusha city huyu si mwingine namzungumzia Dogo janja.Msanii huyu siku ya tarehe 15 jumamosi iliyopita alipewa jina la janjaro baada ya kufikisha miaka 18 na mmiliki wake anayejulikana kwa jina la Ostar Juma na musoma.Kwa hiyo kuanzia anapenda mashabiki wake wajue kwamba yeye anaitwa Janjaro na wala si Dogo janja.Hayo ndiyo maneno ya msanii huyu baada ya kufikisha miaka kadhaa wiki iliyopita Jijini Dar es Salaam.

While Zitto is being attacked pls read here

While Zitto is being attacked pls read here

By Ole Siringot

As much as i was suspicious of Hon. Zitto motives on the assigned review process on the Production Sharing Agreements (PSAs)and energy contracts by the Minister of Energy and Minerals; i was forced to backtrack from my Pre-stand and right-off any attempts to have anything significant out of this review process when i came across this! Before narrating to what triggered this sudden retraction of his official statement, as great thinkers of this forum or wadau of this blog we should first ask ourselves what has happened to the discovery of US$ 33 mio. unpaid revenues by PanAfrican Energy as a quota meant for TPDC according to PSA? What happened to the Parliament committee directives to our Government to seek the reimbursement from PanAfrican energy that was supposed to pay its dues anyway? Do we have to restart "the process" every time when a new leadership takes over in that ministry if the objective is not to change or revoke the current contracts that are not in the best interest of our welfare going to this crucial stage of exploiting the proven resources estimated at 33 trillion cubic feet (tcf) of gas and valued over US$ 430 bio.? How about Zitto's cry for a creation of sovereign Wealth fund? Do we have ears to hear? BTW, what about to the implementation process of the Bomani committee recommendations?

 Can Our Excellency Dr (Honorary)Kikwete look himself in the mirror? BTW if we had a Bomani committee to look at royalties and other taxes paid by gold mines and if EWURA oversleeps on its assigned duties, how about having one (independent) to oversee setting up good gas and oil regulatory policies and to oversee the both the agreements and directives set are respected by the gas companies after the policies are in place before things go awry? Do we have to wait till things go sour? To me, that ministry is too big and lacks first; the capacity to properly handle responsibilities that come from both energy and mineral portfolios! If at all we are serious with our future prospects (we and the generations to come) that ministry has to be split into two now; Energy sector that is serious in shambles needs its own ministry that will oversee power supply, production and revenues of coal, renewable energy sources (like geothermal,solar, biomass, wind) and conventional energy sources like nukes, oil and gas. This has to be serious considered now, especially at this particular time our nation is proven to have over US$ 400 bio. worth of reserves at stake and never had this huge wealth to deal with before! On the other hand, the Mineral ministry has to continue to with deal with all non-hydrocarbons mineral prospecting licenses (metals and gemstones) among others negotiating contracts and PSAs agreements and without forgetting, overseeing how the mining of non-hydrocarbons minerals are conducted according to regulations in place. But, at the same time other ministries (of less importance) can be merged to allow this to happen since the current cabinet is too big and costly to tax-payers to run and its setup is infested with high level bureaucracy that hinders supposed to be swift-delivery on most important issues.

 Second; the ministry lacks the highly sought-after integrity to undertake basic but so vital duties like precisely-protecting our interests while signing PSAs especially with the current regime that is allergic to Transparency! Most of our officers there lack accountability and do not hold at heart the interests of this country probably out of the question of kick-backs luring patriotism.... Once more, We have to quickly remind ourselves that this same graft blighted ministry harbored Nazir Karamagi and William Ngeleja; each of them at his own era and not a single person within the ministry dared to expose their economic atrocities undertakings that could have saved our country from the current situation that prevents our nation to achieve its true and rightly deserving economic potentials out of loss of opportunity due to negligence, revenue loss as a result of pervasive graft and worst enough dilemma on our economic prospects way forward; our sovereignty faces at the moment.

 Though these two are no more there we should not sit back and relax and assure ourselves that all is well at that ministry while with the exception of Karamagi, Ngeleja, Jairo and the old board at TPDC; the old guards are still at large, some even got promoted. The likes of energy commissioners, mining commissioners (that issue mining blocks permits and mining licenses), ministry directors, ministry lawyers et al that are technical savvy and so instrumental to the daily ministry undertakings since are pinnacles on crafting contracts and policies that directly affect us all; but chose to facilitate agreements that right now we are struggling to annul or improve its terms since we disapprove them.

Out of all these setbacks at the management level of the institution assigned to oversee our newly found hydrocarbons, can we dare to say all his arguments (i mean Zitto's) need to go down the drain since he just sound to have attacked Prof. Muhongo on a mission that has already lost track on citing his latest remarks that contradicted the task he assigned the TPDC board to undertake prior? Are we really serious to easily forget the Parliamentary Energy Committee findings and recommendations that sit at Mr Muhongo shelves without a follow up or implementation of its findings and recommendations!? What is the Government of Mr Kikwete doing on recovering the funds not issued to our coffers by PanAfrican energy? And what about the hydrocarbon experts at TPDC have to say on commercialization process of this resource?

 IMOHO, we really need to trade carefully since we just have no idea how good are these MNCs that have for so long proven to be so tricky and best spinners of issues to suit their interests where hydrocarbons have been discovered! Before procrastination costs direly our nation in the near future, We need perseverance on the part of a man at the center of golden undertakings to dare and keep his stand firm and NOT someone that can be easily persuaded to change his stand after issuing them on the back of excuses that the media misquoted his public announcement; fun enough his rebuttal came two days late...likewise we need a man that does not compromise but endowed with negotiation skills and capable of reaching consensus albeit knowing there will be so many deadlocks before attaining a WIN-WIN situation.

Whereas my reasonable doubt lies on the wrong foot under which Mr Muhongo has stepped in on encountering this Mega MNCs; i am convinced to say i withhold the same view on the whole system at the moment that is in shambles and that includes my holding mistrusts on the TPDC experts on their lack of focus and seriousness in handling this massive wealth that lies underneath our coastal-land and off sea immediately and deep in our EEZ! It is out of this vagueness in handling the matter at hand i support Hon. Zitto whistle blowing cum brain storming approach to alert us of the path we are current taking towards resource curse society and i vehemently support his loud approach on the on-goings at the MEM and transparency should be foremost embraced if we have to achieve anything meaningful going towards setting up a first LNG on our shores! Furthermore i would have wanted to hear anything from the NEMC but i am completely ashamed of the fact that the institution is almost dead and only to be reminded of its existence and duties when a replica of the Gulf of Mexico disaster is to happen on our Pristine Coastal waters! So please my dear Tanzanians, Give Hon. Zitto a benefit of doubt and let him do his duties bestowed upon him by our constitution, unfortunately we have no idea how badly need him and many more others since; his being vocal is just a drop in the ocean if we are to compare to serious debates that are currently underway within Ghana on how to best exploit their crude there.

Kikao cha kamati ya maadili cha CCM chafanyika leo Dodoma

Kikao cha kamati ya maadili cha CCM chafanyika leo Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikartibishwa na Katibu Mkuiu wa Chama hicho Bw. Wilson Mukama  katika ukumbi wa White House jijini Dodoma kuongoza kikao cha kamati ya Maadili cha CCM asubuhi hii. Picha na Freddy Maro

MAMBO 7 MUHIMU MBAYO MSICHANA/MWANAMKE UNAPASWA KUYAJUA KUTOKA KWA MWANAUME...

MAMBO 7 MUHIMU MBAYO MSICHANA/MWANAMKE UNAPASWA KUYAJUA KUTOKA KWA MWANAUME...

1.MWIKO: USITHUBUTU KUZUNGUMZI SIFA ZA MPENZI WAKO WA ZAMANI PINDI UNAPOINGIA KATIKA MAHUSIANO MAPYA.. HII INAMAANISHA HAUKO HAPPY NA MAHUSIANO YAKO YA SASA.. AU UNATAKA MWANAUME HUYU AKUFANYIE YALE ULIYOFANYIWA KULE ULIKOTOKA..... INAKERA SANA HII, UPO NA MIMI LAKINI MUDA WOTE UNAONGELEA HABARI ZA RICK AU SHINE
2.KUPIKA NI MUHIMU: Kujua kupika kunakuongezea mvuto kwa yule umpendae.. restaurants, takeaways and dinner out everyday? hakuna kitu kama hicho.... mfanye mpenzi wako atamani kurudi nyumbani mapema kwakuwa chakula unachopika girlfriend wake ni kitamu kuliko chakula kingine chochote.

 3. Workout:Hakuna  mwanaume anapenda mwanamke mzembe... jitahidi kufanya mazoezi na kuhakikisha mwili wako uko katika standard.. sio wote mnauwezo wa kuingia Gym lakini jitahidi hata kukimbia kidogo uamkapo asubuhi ili kuufanya mwili wako kuwa sharp.

4.SWALA LA UENDESHAJI GARI; WANAUME HATUPENDI KUKOSOLEWA... HILI LINANIKERA MIMI BINAFSI SANA TU....
5. Dont smoke: huwa mnajidanganya kuwa ukivuta sigara utaonekana sexy na mwenye mvuto.... unajidanganya.. utaishia kuwa katika mahusiano na masharobaro na hutaweza kupata mwanaume wa maana.. wanaume tu kuvuta sigara wanajikaza... iweje wewe mwanamke uvute??
6. KUWA WAZI NA HISIA ZAKO: Namaanisha kuwa unapokuwa unahamu na mwenzi wako.. mweleze usiwe mtumwa wa mapenzi kwakuwa wewe ni mwanamke.. mbona Yeye anakueleza pale anapokuwa na hamu na wewe? kwanini wewe usimweleze?? unapokuwa na hamu na mzee mueleze


7. SHORTCUTS: Simaanishi njia ya kukatisha ila majibu ya shortcut kama "WHATEVER","Fine", "cool" and "As u Wish" hakuna mwanaume anapenda majibu kama hayo.. if u love that man why umpe majibu ya shortcut??





Wednesday, September 19, 2012

MALIPO YA NICKI MINAJ KWA MWAKA NI BAJETI YA MIAKA KWA MANISPAA NDANI YA DAR ES SALAAM.

MALIPO YA NICKI MINAJ KWA MWAKA NI BAJETI YA MIAKA KWA MANISPAA NDANI YA DAR ES SALAAM.
Imefahamika kwamba pesa anayolipwa rapper Nicki Minaj kwa kukubali kuwa jaji kwenye bongo star search ya Marekani (American Idol) ni bajeti ya usafi kwa miaka tisa ndani ya manispaa ya Ilala Dar es salaam.

Juzi nilifanya interview na Meya wa Manispaa ya Ilala Dar es salaam Jerry Slaa ambae aliniambia bajeti ya mwaka huu kwa swala la usafi kwenye manispaa yake ni bilioni 1.9 ambapo wanazidi kuiangalia ili kujua uwezekano wa kuipunguza kwa miaka ijayo.

Sasa kama hiyo bajeti itaendelea kuwa hivyo au kupungua basi ni dhahiri kwamba mshahara wa bilioni 19 za kitanzania anazolipwa rapper Nicki Minaj kwa mwaka kwa kuwa jaji wa American Idol una uwezo wa kuwa bajeti ya miaka tisa kwa manispaa ya Ilala na bado pesa inabaki.

AP ndio wametaja huo mshahara wa Nicki katika dili jipya la American Idol akiwa amejiunga na timu ambayo kuna wakali wengine pia kama Maria Carey.




JK aweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata

JK aweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata uliofanyika katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo leo mchana.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Pwani ambaye pia ni mkuu  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik(Wapili kushoto),Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli(wanne kushoto) na kulia ni Waziri wa Mazingira Mhe. Theresa Hoviza.

 Ndoto ya miaka mingi ya kujengwa kwa barabara ya Msata-Bagamoyo kwa kiwango cha lami imetimia leo, Jumanne, Septemba 18, 2012, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alipoweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara hiyo katika sherehe kubwa iliyofanyika eneo la Kiwangwa.
Barabara hiyo ya kilomita 64 inajengwa na mkandarasi wa ndani ya nchi, Estim Construction, na inagharimiwa asilimia mia na Serikali ya Tanzania bila msaada kutoka kwa mfadhili yoyote.
Akizungumza kwenye sherehe hiyo, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania, Injinia Patrick L. Mfugale amesema kuwa barabara hiyo inayogharimu kiasi cha Sh. bilioni 94, ikiwa ni pamoja na fedha za fidia na kumlipa mkandarasi mshauri, itakamilika Juni mwakani.
Pamoja na kwamba Mheshimiwa Rais ameweka jiwe la msingi kwenye barabara hiyo, Injinia Mfugale amesema kuwa mkandarasi wa sasa alianza ujenzi tokea 2010 baada ya usanifu wa barabara hiyo kukamilika na baada ya Serikali kumtimua mkandarasi wa mwanzo wa barabara hiyo, TACOPA, Novemba 13, mwaka 2009.

ANGALIA JINSI WASANII WA BONGO MOVIE WANAVYOJISHUSHA THAMANI

ANGALIA JINSI WASANII WA BONGO MOVIE WANAVYOJISHUSHA THAMANI


Baada ya Ant Ezekiel kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana amefaa nguo fupi ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia hata mashabiki wako hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia.

Monday, September 17, 2012

DIAMOND TENA KWENYE WEBSITE YAKE, KAANDIKA UKWELI KUHUSU YEYE NA WEMA SEPETU.




Hon. Membe welcomes H.E. Joaquim Chissano, former President of Mozambique

HON. MEMBER WELCOMES R.E. JOAQIUM CHISSANO, FORMER PRESIDENT OF MOZAMBIQUE
Hon. Bernard K. Membe (MP) (left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation waiting to receive former President of Mozambique, Mr. Joaquim Alberto Chissano at Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam. Right is Ambassador Naimi Aziz, Director of the Department of Regional Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs. 

Hon. Bernard K. Membe (MP), welcomes former President of Mozambique, H.E. Joaquim Alberto Chissano to Tanzania upon his arrival at the Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.

Hon. Membe in talks with H.E. Chissano, who is in the country to meet with President Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania to deliberate on political situation in Madagascar.  H.E. Chissano is a Southern African Development Community (SADC) Mediator on Madagascar since his appointment on that post in June of 2009.


Hon. Membe (left) in discussion with H.E. former President Joaquim Chissano of Mozambique (right).  Listening is Chargé d'affaires a.i. at the High Commission of Mozambique in Tanzania.


H.E. former President Joaquim Chissano of Mozambique.

Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation in talks with Dr. Tomaz A. Salomăo, Executive Secretary of the SADC which is comprised of South Africa, Namibia, Botswana, Lesotho, Swaziland, Angola, Malawi, Tanzania, Mozambique, Madagascar, Seychelles, Mauritius, Zimbabwe and Zambia.

H.E. former President Chissano, Hon. Membe, and Dr. Salomăo.

H.E. former President Chissano (2nd right), Hon. Membe (2nd left), Dr. Salomăo, Ambassador Aziz (left) and Chargé d'affaires a.i.(right) at the High Commission of Mozambique in Tanzania.  President Jakaya Mrisho Kikwete is currently the SADC Chairperson of the organ on Politics, Defence and Security since August of this year.   All photos by Tagie Daisy Mwakawago





 


Friday, September 14, 2012

PRODUCER WA DANGER YA FID Q WAONGEA JUU YA TUHUMA KWA FID KUTOKA KIPINDI CHA KOMEDI

PRODUCER WA DANGER YA FID Q WAONGEA JUU YA TUHUMA KWA FID KUTOKA KIPINDI CHA KOMEDI


siku kadhaa tangu kipindi cha orijino komedi kumdiss Fid Q kwa kukopi na kipesti wimbo wa Danger, studio iliyotengeneza wimbo huo iliyoko Marekani (Chefaco Record) waongea kupitia ukurasa wa facebook.. na haya ndio waliyoyaandika
Chofacorecords II
14 hours ago
CHOFACO RECORDS OWNS FULL COPYRIGHT OF THE SONG DANGER BY FIDQ .PRODUCER BY CHOBARAY.
 NYIMBO ILIREKODIWA NOVEMBER,2008,JIULIZEE NYIMBO ILITOKA MWAKA GANI?MZIKI WA USA SIO SAWA NA MZIKI WA BONGO,KUNATOFAUTI KATI YA MIXTAPE SONGS AND ALBUM SONGS ALSO LEASED TRACKS,NON EXCLUSIVE TRACKS AND EXCLUSIVE TRACKS,KABLA ORIJINO KOMEDI.KUKURUPUKA NA KUONGEA/KUFANYA VIPINDI VYAO LAZIMA MJUE COPYRIGHTS ZA KAZI ZA WATU,HESHIMA NA BUSARA,KUULIZA NA KUELIMISHWA SI UJINGA
 Hiki ndio kipande cha kopi endi pesti cha orijino komedi wakimuua Fid Q


VITU AMBAVYO WANAUME HAWAPENDI KUTOKA KWA WENZI WAO

VITU AMBAVYO WANAUME HAWAPENDI KUTOKA KWA WENZI WAO!!
Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano,ndoa na vijana Frederick Kyara.


1.Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi wao.
mwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri.Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli.Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini?weka balbu bwana.Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya.
2.Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele,mlalamishi.
Yeye ni kulalamika kuanzia jumatatu hadi jumapili.Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa.Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!

3.Wanaume hawapendi mwenzi mchafu.
Mchafu wa mwili wake na hata nyumbani kwenye suala la kutunza nyumba wanayoishi.Uchafu hufanya mwanamke apoteze mvuto.
4.Wanaume hawapendi mwenzi mbishi.
Japo na wanawake wanasema wanaume ndio wabishi zaidi.Utampa mwanaume  ushauri lakini haufanyii kazi ubishi mwingi.

5.Wanaume hawapendi kuamrishwa na mwenzi wao.


Hii ndiyo tatoo mpya ya chris brown ambayo inasemekana kwamba ni sura ya Rihanna

SIKU ZA HIVI KARIBUNI CHRIS BROWN ALIONEKANA AMEPIGA NEW TATOOS

Msanii anayefanya vizuri sana katika game la muziki wa R&B kutoka pande za state.Huyu si mwingine anafahamika kwa jina la Chris brown.Msanii huyu siku za hivi karibuni alionekana amepiga new tatoo katika shigo yake.tatoo hiyo ilizua sana maneno kutoka kwa watu kwamba ni sura ya msanii ambaye anafanya game la muziki American anafahamika kwa jina la Rihanna.

 Hii ndiyo tatoo mpya ya chris brown ambayo inasemekana kwamba ni sura ya Rihanna.






JUMA NATURE NI BABA YANGU ILA AMENIKATAA

Kijana huyu nimekutana nae mjengoni ambapo alifika na kudai kuwa yeyey ni mtoto wa msanii Juma Nature na kujitambulisha kama Samson Juma Kassim Kiroboto, Samson anatokea Morogoro na kwa maelezo yake yeye amezaliwa mwana 1995.
"mama yangu ameshafariki na nilishawahi kwenda mpaka kwa baba yangu Juma Temeke nikiwa na bibi yangu, lakini aliponiona tu akanifukuza akasema hataki kuniona tena " hayo ndio yalikua maelezo ya Samson.
unaona kuna kufanana na nature katika picha hiyo?


TYGA KUFANYA FILAMU YA NGONO
Rapper kutoka YMCMB Mkali wa ngoma ya Rack City Tyga ameripotiwa kutengeneza, kudirect movie ya ngono ambayo itaitwa Rack City jina la ngoma yake iliyofanya vizuri ya Rack City. Kufanya hivyo atakuwa amefuata nyayo za Snoop Dogg, 50 cent, Lloyd Banks na Big Daddy Kane. Mkali Tyga ameamua kujitosa katika soko hilo la ngono.




HUYU NDIO MTOTO ALIEMUOA MAMA YAKE

HUYU NDIO MTOTO ALIEMUOA MAMA YAKE