CAMP MULLA WAMEKUWA NOMINATED KWENYE M.O.B.O AWARDS
Kutoka pande za 254 nairobi wasanii wanaozidi kupeperusha bendera ya nchi yao huko Kenya hawa si wengine wanajulikana kwa jina la Camp mulla wamekuwa nominated katika tuzo za M.O.B.O ambazo zinatolea nchini Uingereza.Chakushangaza ni kwamba mashabiki wengi wa muziki wao wanasema kundi ili linafanya mziki wa “BubbleGum” lakini tukiangalia tovuti ya MOBO wameweza kuteuwa kundi hili la Camp mulla katika kuwania tuzo za MOBO ambazo zitatolewa maeneo ya Liverpool Echo Arena tarehe 3 mwezi wa Novemba mwaka huu.
Hii ndiyo list ya wasanii ambao watachuana na Camp Mulla kwenye Category ya Best African Act.
Best African Act:
Fatoumata Diawara
P Square
The Very Best
Spoek Mathambo
D’Banj
Fally Ipupa
Sarkodi Duncwills
Cabo Snoop
Camp Mulla
Amadou and Mariam
Kuwapigia kura Camp mulla ingia hapa http://www.mobo.com/voting
Hii ndiyo list ya wasanii ambao watachuana na Camp Mulla kwenye Category ya Best African Act.
Best African Act:
Fatoumata Diawara
P Square
The Very Best
Spoek Mathambo
D’Banj
Fally Ipupa
Sarkodi Duncwills
Cabo Snoop
Camp Mulla
Amadou and Mariam
Kuwapigia kura Camp mulla ingia hapa http://www.mobo.com/voting
No comments:
Post a Comment