DOGO JANJA APEWA JINA LA JANJARO BAADA YA KUFIKISHA MIAKA 18
Ni moja kati ya wasanii ambao wanatokea panda za Arusha city huyu si mwingine namzungumzia Dogo janja.Msanii huyu siku ya tarehe 15 jumamosi iliyopita alipewa jina la janjaro baada ya kufikisha miaka 18 na mmiliki wake anayejulikana kwa jina la Ostar Juma na musoma.Kwa hiyo kuanzia anapenda mashabiki wake wajue kwamba yeye anaitwa Janjaro na wala si Dogo janja.Hayo ndiyo maneno ya msanii huyu baada ya kufikisha miaka kadhaa wiki iliyopita Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment