DK. SHEIN AONGOZA HARAMBEE YA UCHANGIAJI WA WALEMAVU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar Dk ali Mohamed Shein akitoa hotuba katika
hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika leo katika hoteli ya
Zanzibar Beach Ressort.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui
akitoa hotuba na maelezo kuhusu mfuko wa watu wenye ulemavu,katika hafla ya
kuchangia mfuko huo iliofanyika Zanzibar Beach Ressort.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akimkabidhi Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamad picha ya Rais wa kwanza wa
Zanzibar Abeid Aman Karume iliochorwa kwa Mkono na ambayo imeuzwa shiling
1,200,000 katika hafla ya kuchangia mfuko wa watu wenye ulemavu iliofanyika
Zanzibar Beach Ressort.
No comments:
Post a Comment