PRODUCER WA DANGER YA FID Q WAONGEA JUU YA TUHUMA KWA FID
KUTOKA KIPINDI CHA KOMEDI
siku kadhaa tangu kipindi cha orijino komedi kumdiss Fid Q
kwa kukopi na kipesti wimbo wa Danger, studio iliyotengeneza wimbo huo iliyoko
Marekani (Chefaco Record) waongea kupitia ukurasa wa facebook.. na haya ndio
waliyoyaandika
Chofacorecords II
14 hours ago
CHOFACO RECORDS OWNS FULL COPYRIGHT OF THE SONG DANGER BY
FIDQ .PRODUCER BY CHOBARAY.
NYIMBO ILIREKODIWA
NOVEMBER,2008,JIULIZEE NYIMBO ILITOKA MWAKA GANI?MZIKI WA USA SIO SAWA NA MZIKI
WA BONGO,KUNATOFAUTI KATI YA MIXTAPE SONGS AND ALBUM SONGS ALSO LEASED
TRACKS,NON EXCLUSIVE TRACKS AND EXCLUSIVE TRACKS,KABLA ORIJINO
KOMEDI.KUKURUPUKA NA KUONGEA/KUFANYA VIPINDI VYAO LAZIMA MJUE COPYRIGHTS ZA
KAZI ZA WATU,HESHIMA NA BUSARA,KUULIZA NA KUELIMISHWA SI UJINGA
Hiki ndio kipande cha
kopi endi pesti cha orijino komedi wakimuua Fid Q
No comments:
Post a Comment