Friday, September 14, 2012






JUMA NATURE NI BABA YANGU ILA AMENIKATAA

Kijana huyu nimekutana nae mjengoni ambapo alifika na kudai kuwa yeyey ni mtoto wa msanii Juma Nature na kujitambulisha kama Samson Juma Kassim Kiroboto, Samson anatokea Morogoro na kwa maelezo yake yeye amezaliwa mwana 1995.
"mama yangu ameshafariki na nilishawahi kwenda mpaka kwa baba yangu Juma Temeke nikiwa na bibi yangu, lakini aliponiona tu akanifukuza akasema hataki kuniona tena " hayo ndio yalikua maelezo ya Samson.
unaona kuna kufanana na nature katika picha hiyo?


TYGA KUFANYA FILAMU YA NGONO
Rapper kutoka YMCMB Mkali wa ngoma ya Rack City Tyga ameripotiwa kutengeneza, kudirect movie ya ngono ambayo itaitwa Rack City jina la ngoma yake iliyofanya vizuri ya Rack City. Kufanya hivyo atakuwa amefuata nyayo za Snoop Dogg, 50 cent, Lloyd Banks na Big Daddy Kane. Mkali Tyga ameamua kujitosa katika soko hilo la ngono.




No comments:

Post a Comment