MALIPO YA NICKI MINAJ KWA MWAKA NI BAJETI YA MIAKA KWA MANISPAA NDANI YA DAR ES SALAAM.
Imefahamika kwamba pesa anayolipwa rapper Nicki Minaj kwa kukubali kuwa jaji kwenye bongo star search ya Marekani (American Idol) ni bajeti ya usafi kwa miaka tisa ndani ya manispaa ya Ilala Dar es salaam.
Juzi nilifanya interview na Meya wa Manispaa ya Ilala Dar es salaam Jerry Slaa ambae aliniambia bajeti ya mwaka huu kwa swala la usafi kwenye manispaa yake ni bilioni 1.9 ambapo wanazidi kuiangalia ili kujua uwezekano wa kuipunguza kwa miaka ijayo.

Sasa kama hiyo bajeti itaendelea kuwa hivyo au kupungua basi ni dhahiri kwamba mshahara wa bilioni 19 za kitanzania anazolipwa rapper Nicki Minaj kwa mwaka kwa kuwa jaji wa American Idol una uwezo wa kuwa bajeti ya miaka tisa kwa manispaa ya Ilala na bado pesa inabaki.
AP ndio wametaja huo mshahara wa Nicki katika dili jipya la American Idol akiwa amejiunga na timu ambayo kuna wakali wengine pia kama Maria Carey.
AP ndio wametaja huo mshahara wa Nicki katika dili jipya la American Idol akiwa amejiunga na timu ambayo kuna wakali wengine pia kama Maria Carey.
No comments:
Post a Comment