MAMBO 7 MUHIMU MBAYO MSICHANA/MWANAMKE UNAPASWA KUYAJUA KUTOKA KWA MWANAUME...
1.MWIKO:
USITHUBUTU KUZUNGUMZI SIFA ZA MPENZI WAKO WA ZAMANI PINDI UNAPOINGIA KATIKA
MAHUSIANO MAPYA.. HII INAMAANISHA HAUKO HAPPY NA MAHUSIANO YAKO YA SASA.. AU
UNATAKA MWANAUME HUYU AKUFANYIE YALE ULIYOFANYIWA KULE ULIKOTOKA..... INAKERA SANA HII, UPO NA MIMI
LAKINI MUDA WOTE UNAONGELEA HABARI ZA RICK AU SHINE
2.KUPIKA NI
MUHIMU: Kujua kupika kunakuongezea
mvuto kwa yule umpendae.. restaurants, takeaways and dinner out everyday?
hakuna kitu kama hicho.... mfanye mpenzi wako
atamani kurudi nyumbani mapema kwakuwa chakula unachopika girlfriend wake ni
kitamu kuliko chakula kingine chochote.
3. Workout:Hakuna mwanaume anapenda mwanamke
mzembe... jitahidi kufanya mazoezi na kuhakikisha mwili wako uko katika
standard.. sio wote mnauwezo wa kuingia Gym lakini jitahidi hata kukimbia
kidogo uamkapo asubuhi ili kuufanya mwili wako kuwa sharp.
4.SWALA
LA UENDESHAJI GARI; WANAUME HATUPENDI KUKOSOLEWA... HILI LINANIKERA MIMI
BINAFSI SANA
TU....
5. Dont smoke: huwa mnajidanganya kuwa ukivuta sigara utaonekana
sexy na mwenye mvuto.... unajidanganya.. utaishia kuwa katika mahusiano na
masharobaro na hutaweza kupata mwanaume wa maana.. wanaume tu kuvuta sigara
wanajikaza... iweje wewe mwanamke uvute??
6. KUWA WAZI NA HISIA ZAKO: Namaanisha kuwa unapokuwa unahamu na
mwenzi wako.. mweleze usiwe mtumwa wa mapenzi kwakuwa wewe ni mwanamke.. mbona
Yeye anakueleza pale anapokuwa na hamu na wewe? kwanini wewe usimweleze??
unapokuwa na hamu na mzee mueleze
7. SHORTCUTS: Simaanishi njia ya kukatisha ila majibu ya shortcut
kama "WHATEVER","Fine", "cool" and "As u
Wish" hakuna mwanaume anapenda majibu kama
hayo.. if u love that man why umpe majibu ya shortcut??
No comments:
Post a Comment