RAIS KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU, DAR ES
SALAAM, LEO
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na ujumbe toka kampuni ya Mwambani
Port and Railway Corridor Company
(MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar
es salaam kumweleza nia yao
ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za
reli katika ramani ya Tanzania
ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC)
uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es
salaam kumweleza nia yao
ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment