Sunday, February 17, 2013
PICHA ZA KIM KARDASHIAN PINDI ALIPOFIKA NIGERIA
Niliandika on millardayo.com siku chache zilizopita kwamba TV Star Kim Kardashian kutoka Marekani ambae ni mpenzi wa rapper Kanye West, alithibitisha kwenda Nigeria alikopata mwaliko wa kuhost show itakayofanyika february 17 2013 kuhusu wapendanao, tayari ameshawasili Lagos.
Kim K amewasili akiwa watu wawili, mlinzi mmoja na msaidizi wake mmoja wa kike.
Friday, February 15, 2013
Ney wa mitego amepata ajali
Msanii wa muziki wa kizazi kimpya Ney wa mitego amepata
ajali mbaya akiwa na gari lake aina ya Alteza akizungumza
na teentz Ney alisema...
"Ilikua saa tisa na nusu usiku nilikua natokea masaki
kuwachukua washkajin zangu ndo nilikua narudi hom
e Lory la mchanga liliingia nyuma ya gari langu pale kwenye
mataa ya Maisha Club kwenda moroco na kwa bahati
mbaya
jamaa akakimbia kwasababu nahisi alidhani ameoua maana
gari alienda kuingia kwenye mtaro...
Nashukuru mungu mimi mzima ila mguu tu ndo umeshtuka
kidogo"......…
Msanii kutoka kundi la TMK WANAUME HALISI anaejulikana kama BK amezikwa leo
Msanii kutoka kundi la TMK WANAUME HALISI anaejulikana kama BK amezikwa leo
kwenye makabuli ya wailesi Temeke kalibu na uwanja wa taifa,,MUNGU ailaze roho ya marehemu mahali pema pepo .... amiin.
BREAKING TAARIFA KUHUSU KIFO CHA MNIGERIA GOLDIE WA PREZZO
Ni taarifa ambayo kila aliekua karibu na Goldie kwenye page zake za facebook na twitter inakua ngumu kuamini, taarifa rasmi zimeripoti kwamba Goldie ambae ni mwakilishi wa Nigeria kwenye BBA 2012 AMEFARIKI muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria akitokea Marekani ambapo bado chanzo cha kifo chake hakijajulikana.
Mmoja wa wasaidizi wake amethibitisha kifo cha Goldie kupitia page ya twitter ya Goldi kwa kusema ni kweli msanii huyo amefariki dunia usiku wa february 14 2013 muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria, hali yake ya afya ilibadilika ghafla ikabidi apelekwe hospitali ambako hakuchukua muda mrefu akafariki dunia.
Taarifa nyingine nilizozipata kutoka kwa mtu wake wa karibu wanaeshirikiana kimuziki zimeeleza kwamba mpenzi wake Goldie ambae ni Msanii wa Kenya CMB Prezzo ametua Nigeria usiku huu muda mfupi uliopita kwa ajili ya kuendeleza mipango aliyokua nayo na Goldie ikiwemo kutengeneza show ya TV.
Prezzo alitakiwa kushiriki katika TV show ambayo yeye na Goldie wangekua moja ya wahusika wakuu ambapo mpango ulikua baada ya mwezi mmoja Goldie na Prezzo wangekuja Tanzania, Uganda na Kenya kwa ajili ya kujitangaza na kuipromote single mpya ya Goldie ya ‘Skibobo’ aliyofanya na Ay.
Kwenye Exclusive interview na millardayo.com october 19 2012 alisema alikua na mpango wa kwenda Marekani kurekodi kolabo yake na mastaa wawili wa muziki ambao ni Keri Hilson na Trey Songs ambao tayari mipango ilikua tayari na kilichobaki ilikua ni makubaliano ya mwisho mwisho tu.
Thursday, February 14, 2013
KUHUSU MAANDAMANO YA WAISLAMU IJUMAA
Taasisi ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu Tanzania kutoshiriki katika maandamano yaliyopangwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii kwa lengo la kushinikiza Serikali kurahisisha dhamana kwa katibu mkuu wa baraza kuu la Jumuiya na taasisi za kiislamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda.
Mkurugenzi wa TIPF Sheikh Sadiki Godigodi amesema maandamano hayo yameitishwa kwa maslahi ya watu wachache na hayana manufaa yoyote kwa dini hiyo bali yanalenga kuvunja amani ya nchi.
Amesema tayari viongozi mbalimbali wa kitaifa wa kidini wanatafuta namna ya kuishinikiza Serikali kurahisisha masharti ya dhamana kwa Sheikh Ponda na tayari mazungumzo yanaendelea…. hivyo kufanyika kwa maandamano hayo kutakua ni kuingilia uhuru wa Mahakama.

SENTENSI 3 KUHUSU WIZKID KUANZISHA LEBO YAKE MWENYEWE
Kwenye headlines Nigeria kwa wiki kadhaa sasa hivi kumekua na stori kwamba staa mdogo wa muziki nchini humo Ayo Balogun a.k.a Wizkid ameachana na lebo yake ya E.M.E na sasa anafanya ishu zake mwenyewe.
Stori zilizosambaa kuanzia feb 13 2013 ni kwamba Wizkid ameamua kuanzisha lebo yake mwenyewe inaitwa Star boy Entertainment ambapo studio yake itaachia single yake mpya ya ‘Azonto’ february 15 2013.
Msanii huyu ambae ni baba wa mtoto mmoja amekaririwa akisema lebo hiyo itahusika pia na kusimamia biashara zake nyingine kama Star boy clothing line, Star boy cap na Star boy shoes.

KWA WAPENDANAO: MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU KUHUSU VALENTINE'S DAY!
LEO ni Sikukuu ya Wapendanao. Siku maalumu kwa ajili ya kuoneshana mapenzi ya dhati. Ni siku muhimu sana yenye maana kubwa kwa kila mtu, maana upendo hauchagui.
Maana halisi ya siku yenyewe inaharibiwa na watu wanaotumia fursa ya Valentine’s Day kufanikisha matakwa ya misukumo ya tamaa za miili yao. Kama unabisha nenda gesti ukaulizie chumba leo, kila mahali utakuta kumejaa!

ASILI YAKE NI NINI?
Asili yake hasa ni Roma. Ni siku ya kumkumbuka mtakatifu Padre Valentino ambaye alifungwa na kuhukumiwa kunyongwa katika Utawala wa Dola ya Warumi alipokuwa akitetea vijana waoane badala ya kuzini.
Mtakatifu Valentino aliuawa siku na tarehe kama ya leo, ndiyo maana ikatangazwa rasmi kuadhimishwa kwa ajili ya kumkumbuka kama Baba wa Upendo – mtetezi wa wanandoa.
Aliyetangaza rasmi kuadhimisha siku hiyo ni Papa Gelasius.
SIYO NGONO, ANASA!
Baadhi ya watu wameibadilisha maana ya siku hii muhimu kwa wapendanao. Wenyewe wanahisi kuwa ni siku ya kufanya mambo yasiyofaa. Kwao, wapendanao ni ngono. Kuna ambao huanzisha uhusiano siku hiyo kwa lengo la kupata mtu wa kustarehe naye, hili ni kosa.
Kama mtazamo wako ni kutafuta mpenzi mpya na kwenda kustarehe naye utakuwa unakosea sana. Haina maana ya ngono wala anasa na kuharibu fedha kwenye ulevi. Yapo mengi ambayo unaweza kuyafanya kwa lengo la kuifanya siku yako kuwa nzuri.
KUMBUKA NDUGU
Inawezekana unaishi kwenye mji mwingine, kazi zinakubana kila siku na hupati muda wa kuwasiliana mara kwa mara na ndugu zako. Siku ya leo ni nzuri kwako kuwakumbuka na kuwaonesha kwamba unawapenda.
Wapo watu muhimu zaidi katika maisha, wazazi. Mpigie simu mama/baba yako, mwambie unavyompenda na kuthamini malezi aliyokupa hadi kufikia umri ulionao. Kama unaweza watumie hata zawadi kwa ajili ya kuonesha mapenzi yako kwake.
Ondoa fikra mbaya kichwani mwako rafiki yangu. Waza kuhusu mema na kupendana kwa dhati, hapo utakuwa umekwenda sawa na maana ya sikukuu yenyewe.
WAKUMBUKE WAHITAJI
Katika jamii yetu kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu, wazee na wahitaji wengine. Tumia ulichojaliwa kushiriki nao. Siyo lazima iwe fedha, hata chakula na mavazi. Inawezekana una nguo unazodhani hazifai, wape wenzako ambao wanahitaji hapo utakuwa umeonesha namna unavyotambua na kuiadhimisha kwa usahihi.
Ifanye siku hii kuwa ya tofauti zaidi kwa kudumisha uhusiano wako na mpenzi wako na kuzungumzia changamoto mbalimbali za uhusiano wenu kuliko kuwaza starehe na anasa ambazo hupoteza fedha.
Happy Valentine’s Day!

BABA KANUNBA AFUNGUKIA DHAMANA LULU!
KAMA ilivyodhaniwa na wengi kwamba baba wa staa wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa atazungumzia dhamana ya Elizabeth Michael ‘Lulu’, kweli ameibuka na kusema yupo makini kufuatlia mwenendo mzima wa kesi hiyo ya kuua bila kukusudia.
Hivi karibuni, Baba Kanumba alipiga simu kwenye dawati la Amani na kusema dhamana hiyo ya Lulu haimuumizi kichwa kwa sababu kila mtu ana haki ya kupewa dhamana kutokana na sheria ila yupo makini kufuatilia mwenendo wake.
VAZI LA SHYROSE BANJI FULL UTATA
VAZI alilotinga Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji limezua utata kufuatia kuonesha sehemu yake ya tumboni (kitovu).
Utata huo umekuja mara baada ya picha inayomuonesha mbunge huyo akiwa amejipara (tazama pichani) na kuvalia vazi hilo ambalo linamuonesha sehemu hiyo nyeti na kutupiwa mtandaoni.
“Jamani huu ni utata sasa, inakuwaje mheshimiwa anatinga vazi kama hili? Haya mambo bora angewaachia mastaa wadogo, umri wake haufanani na mambo haya!” aliandika mdau…

“Jamani huu ni utata sasa, inakuwaje mheshimiwa anatinga vazi kama hili? Haya mambo bora angewaachia mastaa wadogo, umri wake haufanani na mambo haya!” aliandika mdau mtandaoni.
“Jamani huu ni utata sasa, inakuwaje mheshimiwa anatinga vazi kama hili? Haya mambo bora angewaachia mastaa wadogo, umri wake haufanani na mambo haya!” aliandika mdau mtandaoni.
STORI YA KISA CHA MWANAMKE KUCHOMWA NA PASI YA MOTO NA MUMEWE IKO HAPA
Japo chanzo hakijajulikana, kaimu kamanda wa Polisi Singida Thobias Sedoyeka amesema hilo tukio limetokea nyumbani kwa wanandoa hao Singida na mtuhumiwa tayari wanae na atafikishwa Mahakamani baada ya upelelezi kukamilika.
Mwanamke alieunguzwa ambae ana umri wa miaka 30 amesema ndoa yao imedumu kwa miaka sita na nusu mpaka sasa na kwa kipindi chote hicho amekua akikumbana na vipigo vya mara kwa mara.
Namkariri akisema “siku ya tukio alirudi saa nane nikamfungulia mlango akaingia ndani akalala, aliamka majira ya saa kumi usiku wakati nimelala akawasha pasi ya umeme, ilivyopata moto akaja kuniunguza usoni nikiwa niko usingizini kwa hiyo sikuweza kujitetea kwa lolote nilishtuka nikiwa nimeshaunguzwa, alishanivunja mkono kipindi cha nyuma yakaisha…. mpaka tukio hili la kuniunguza na pasi inaonyesha dhahiri kwamba ni mtu anaweza kutoa hata uhai wangu, nataka sheria inisaidie niweze kupata haki za watoto wangu na niweze kurudi kwetu”
Wednesday, February 13, 2013
matumaini anahitaji msaada zaidi
afya ya msanii wa vichekesho nchini, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ kuonekana kuendelea vyema na kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Amana jijini Dar, Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji nchini, Michael Sangu ‘Mike’ amewataka wadau kumsaidika ili afanyiwe uchunguzi zaidi.
Mike aliyasema hayo hivi karibuni alipoongea na Tollywood Newz na kubainisha kuwa Matumaini anatakiwa afanywe uchunguzi wa figo na ini ili aweze kupona kisawasasawa.
“Ingekuwa vyema kama tungejitolea kumsaidia apate vipimo kwenye hospitali kubwa, kwani amerudishwa nyumbani lakini siyo mtu mwenye hali ya kuridhisha, anayetaka kumsaidia atumie namba 0718 951 355,” alisema Mike.
Saturday, November 10, 2012
DIAMOND AFANYA NGOMA MPYA NA DULLY "UTAMU"
DIAMOND AFANYA NGOMA MPYA NA DULLY "UTAMU"
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Diamond wa wasafi baada ya kuachia ngoma yake mpya inayofahamika kwa jina la Nataka kulewa sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba ameweza kufanya ngoma nyingine ambayo amepewa collabo na Dully Skyes chini ya Producer P funk kutoka Bongo Records.Baada ya kumaliza kufunguka kuhusiana na collabo hiyo mpya alisema kwamba ni moja kati ya collabo ambayo alikuwa anaisubiri sana na hatimaye wameshamaliza ku record na siku za hivi karibuni inaweza ikatoka.
Check out hapo Diamond akiwa zake ndani ya Bongo Record akifanya vitu vyake sasa hii ni nomaa!!!!!

A.Y AONGELEA KUHUSU MAFANIKO YAKE MWAKANI
A.Y AONGELEA KUHUSU MAFANIKO YAKE MWAKANI
Msanii wa Bong Fleva almaarufu kama A.Y baada ya kutoa ngoma yake inayofahamika kwa jina la Money Money aliyofanya na mwanadada Vanessa Mdee na kupeleka mpaka mashabiki kuendelea kumkubali katika tasnia hii ya muziki sasa
Latest info kutoka kwa A.Y aliweza kueleza focus yake katika mwaka unaokuja alisema kwamba anachotaka kukifanya yeye ni ku focus zaidi kazi zake ziweze kufika mbali Hapa Africa hata nje ya Africa baada ya kusema hivyo alisema kwamba kuna baadhi ya ngoma zake ambazo ameziandaa kwa ajili ya mwaka unaokuja kama kuna collabo aliyofanya na P Funk,Fid Q,Chid Benz na wengineo.@info by A.Y

SUMA LEE ASEMA ATAANZA KUPANDA DALADALA
SUMA LEE ASEMA ATAANZA KUPANDA DALADALA
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Suma Lee anayekubalika na ngoma nzuri anazozitoa kwa mashabiki wake kama
Hakunanga,Chungwa,Utanikumbuka na nyinginezo mpaka kupelekea mashabiki wa hapa Tzee kumkubali katika tasnia hii ya muziki sasa kama unakumbuka wiki kadhaa zilizopita msanii huyu aliibiwa gari lake maeneo ya Coco Beach sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu asema kwamba kuanzia sasa ataanza rasmi kupanda Daladala baada ya kusema hivyo aliweza kufunguka na kutoa sababu na kusema kwamba maisha ni popote si lazima mtu au msanii achukue Bajaji au Tax usafiri ni usafiri tu.Hivyo ndivyo alivyoamua kutiririka baada ya kuweka wazi kwamba ataanza kupanda Daladala.

WALTER CHILAMBO AIBUKA KUWA MSHINDI WA EBSS 2012
WALTER CHILAMBO AIBUKA KUWA MSHINDI WA EBSS 2012
Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012(EBSS),Walter Chilambo akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha Sh. milioni 50 usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee,pia katika shindano hilo lililovuta hisia za watu wengi sana,mshindi wa pili amechukua mwanadada Salma Abushir(Zanzibar) na watatu ni Wababa Mtuka(Dar).
Saturday, November 3, 2012
C PWAA AMEACHIA NGOMA MBILI KWA WAKATI MMOJA
Here are the two new fresh songs from Tanzania’s finest “CPwaa”. CPwaa hasn’t release any records since last
year 2011 November when he released “Hhmm”. Now to please his
fans, he is releasing double tracks!!. One a commercial song and one a bonus
song for his royal “Crunk Customers” Here is the line up and the
songs.
1. Mission 12 O’Oclock - Ft. Anto’Neyo{The Artists}, Godzilla, One Incredable, Lord Eyez and Mabeste.
Production: Middle Class Beats,St.Louis,USA
Vocals: Classic Sounds, TANZANIA (Mona Gangstar)
2. Mambo – ft. Anto’Neyo{The Artists}
Production: Classic Sounds
Producer: Mona Gangstar

CHRIS BROWN KUPIGA SHOW KWENYE TUZO ZA KORA MWAKA HUU
CHRIS BROWN KUPIGA SHOW KWENYE TUZO ZA KORA MWAKA HUU
Msanii mahiri kutoka marekani almaarufu kama Chris Brown baada ya kutamba na
ngoma zake kadhaa hapa Africa kama Don't judge me,Strip,Yeah 3x. Sasa
latest info nilizozipata baada ya kukuta hii picha katika mitandano na
kusema kwamba inawezekana Chris brown akapiga show nchini Ivory
Coast katika tuzo za kora baada ya kupiga picha na Ernest Adjovi
ambaye ni mratibu wa tuzo KORA.
PIGA KURA KWA A.Y NA C.P
SASA WATANZANIA TUMEAMKA
TUNATAKA TUPATE TUZO ZOTE ZA CHANNEL O
TUONESHE UPENDO WETU WA DHATI KUTOKA MOYONI
TUWAPIGIE KURA A.Y NA C.P ILIWAWEZE KURUDI NA TUZO
MIMI KAMA C.E.O WA BLOG HII NIMEANZA KWA KUWAPIGIA KURA
SASA NA WAOMBA WATANZANIA WENZANGU NANYI MUWEZE KUWAPIGIA KULA
NI GARAMA NDOGO UNATUMIA ILA USHINDI NA UPENDO UTADUMU MILELE
PIGA KURA KWA A.Y NA C.P
SASA NI ZAMU YA TEMBA: AIBIWA VIFAA VYA GARI LAKE WEZI WADAI WATAENDELEA KWA KUIBA KWA WASANII NA WATANGAZAJI
Alfajiri ya kuamkia
leo, Mh Temba ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya verossa akiwa amelipaki
nyumbani kwake.Temba amesema vifaa vilivyoibiwa ni pamoja na power window, side
mirror zote taa za nyuma, radio leseni,na vinginevyo ambavyo thamani yake
hajaijua kwa sasa.
lakini baada ya wizi huo temba alipiga simu polisi na kati ya info alizopewa na washkaji zake walio central si unajua jamaa likua mwanajeshi kitambo sasa baada ya kuongea na watu wa usalama alipewa ripoti kuwa kuna watu wameamua kuwakomoa wasanii pamoja na watangazaji, kwa kuwaibia mpaka mwenzao alieshikiliwa aachiwe
" kituoni sasa hivi mishe mishe zilizokuwepo ni kwamba kuna jamaa wametangaza kwamba wanaibia wasanii wote magari na mapresenter nao watakoma mpaka mtu wao wakaribu aachiwe, naskia kuna mtu wao ambae wanafanya nae kazi amekamatwa yuko ndani wamesema kwamba wataibiwa wasanii wote na vitu vya magari kwasababu ndio wamesababisha mtu wao amewekwa ndani..." amesema temba
weekend iliyipiya msanii Suma lee aliibiwa gari lake aina ya Land cruser VX yenye thamani ya shilingi milioni 70 maeneo ya coco beach alipokuwa amelipaki na mpaka leo hii halijapatikana tukio lililotokea wiki kadhaa baada ya gari la Ommy Dimpoz kuibiwa vifaa pia
Temba alimalizia kwa kusema, kama angepata nafasi ya kuwakamata wezi hao basi angewatembezea vipara raaaaaah
Friday, November 2, 2012
KUTOKA BONGO 5,,exclusive-sikiliza-nataka-kulewa-ya-h-baba-anayodai-diamond-ameiba-idea-11-2012/
H.Baba ameileta Bongo5 cd yenye demo ya wimbo wake 'Nataka Kulewa' ambayo anadai ameibiwa idea na Diamond. Wengi walikuwa hawaamini na kusema H.baba anatafuta pa kutokea. Kama bado huamini usikilize mwenyewe hapa: http://www.bongo5.com/exclusive-sikiliza-nataka-kulewa-ya-h-baba-anayodai-diamond-ameiba-idea-11-2012/
hivi ndivyo hali ilivyokuwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar leo
hivi ndivyo hali ilivyokuwa Mahakama ya Kisutu
jijini Dar jana
Kiongozi wa Askari magereza, akiwaongoza Sheikh Ponda na
wenzake, kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya
kuahirishwa kwa kesi yao
Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali, alifikishwa kwa mara ya
pili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na wafuasi wake ambapo
hakimu anayesikiliza kesi dhidi yake, Victoria Nongwa, ya kuvamia eneo la
Markaz, Chang'ombe jijini Dar es Salaam , ambapo
waliharibu na kuiba mali mbali
mbali zenye thamani ya shilingi milioni
59, madai ambayo washtakiwa wote waliyakanusha.
Hakimu huyo alikubali kutoa dhamana kwa washtakiwa wote
isipokuwa kiongozi huyo ambaye ni mshtakiwa namba 1 kwa madai kuwa bado
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), hajaondoa pingamizi lake la kuzuia dhamana
kwa mshtakiwa namba moja.
Ulinzi katika mahakama hiyo ulikuwa ni mkali na haujawahi
kutokea katika miaka ya hivi karibuni, ambapo pamoja na mambo mengine,
palifungwa CCTV Cameras, vifaa vya kugundua vitu vyenye asili ya chuma, polisi
wa kutuliza ghasia magereza na wale wa FFU, polisi wa farasi na mbwa, pamoja na
askari kanzu waliotapakaa kila kona ya maeneo ya jirani na mahakama hiyo kubwa
jijini Dar es Salaam.
Kikundi kidogo cha wafuasi wa Sheikh Ponda, kilijaribu
kuleta rabsha, lakini polisi walitumia busara na kuwaelekeza kilichoamuliwa
mahakamani ambapo pamoja na kusuasua kuondoka eneo hilo la mahakama, lakini hatimaye waliondoka
huku polisi wa kutuliza ghasia wakiwafuata
kwa nyuma hadi eneo la makutano ya barabara za Bibi Titi na ile ya Morogoro nao
wakatawanyika.
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika vya habari, kulikuwepo
taarifa kuwa wafuasi hao walipanga kutega milipuko kwenye eneo la mahakama na
pia walisambaza vipeperushi vyenye vitisho kadhaa, ikiwa ni pamoja na kufanya
maandamano makubwa ya kulazimisha kiongozi huyo aachiliwe.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 15 mwaka huu
itakapotajwa tena
Wafuasi wa Ponda, wanbaoshatakiwa pamoja naye, wakifunguliwa
pingu mahakamani
Mshtakiwa akiwa amebebwa na mwenzake baada ya kudondoka
mahakamani na kupoteza fahamu
Askari wa kutuliza ghasia magerezani, nao walikuwepo
kikamilifu
Askari wa kutuliza ghasia magereza, akiwa ameshika lindo
mbele ya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Alhamisi Novemba
1, 2012
Polisi wa Mbwa nao walichukua nafasi yao
Huiingii mahakama ya Kisutu bila ya kukaguliwa na mashine za
kugundua vitu vya asili ya chuma hapo.
Farasi wa polisi wakiwafukuza wafuasi wachache wa Sheikh
Ponda, waliojikusanya nje ya uzio wa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam Alhamisi Novemba 1, 2012
Polisi wa Mbwa wakisubiri amri ndani ya gari lao nje ya
mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Novemba 1, 2012
Polisi wa Mbwa akifanya doria kwenye barabara ya Bitbi Titi
mbele ya jengo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
Askari Magereza wa kutuliza ghasia, aliyejihami kwa silaha
na vifaa vingine akiwa makini kulinda usalama
Sheikh Ponda na pingu zake mikononi, akirejeshwa rumande.
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)