Saturday, November 3, 2012

CHRIS BROWN KUPIGA SHOW KWENYE TUZO ZA KORA MWAKA HUU

CHRIS BROWN KUPIGA SHOW KWENYE TUZO ZA KORA MWAKA HUU

 
Msanii mahiri kutoka marekani almaarufu kama Chris Brown baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa hapa Africa kama Don't judge me,Strip,Yeah 3x. Sasa latest info nilizozipata baada ya kukuta hii picha katika mitandano na kusema kwamba inawezekana Chris brown akapiga show nchini Ivory Coast katika tuzo za kora baada ya kupiga picha na Ernest Adjovi ambaye ni mratibu wa tuzo KORA.

No comments:

Post a Comment