Saturday, September 8, 2012


HII NDIYO TATOO MPYA YA LADY GAGA

Kupitia katika website ya msanii huyu namzungumzia Lady gaga A.k.A Mother monster kutoka pande za state ali post katika mtandano wake na kuweka picha hii na kusema kwamba amepiga new tatoo ambazo tatoo hizo kwa hapa bongo zinafahamika kwa jina la Nanga.


HII NDIYO WEBSITE MPYA YA MR NICE

Ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri sana katika game la bongo fleva hapa bongo land hata nje ya Tanzania.Namzungumzia Mr nice msanii huyu ameamua kufungua website yake ambayo itakuwa inaonyesha burudani zake pamoja na kazi zake anazozifanya katika game la muziki.kuanzia video,muziki na vitu vingine.Kuanzia sasa unaweza uka google website yake kwa kupitia www.mrnicebongo.com


HII NDIYO WEBSITE  YA DULLY A.K.A SUPER STAR








Habari za Music

Adam a.k.a Baba john na Salama wakiwa na furaha baada ya kuchukua ushindi wa nafasi ya pili na ya nne katika fanali za nokia dont break the beat nairobi nchini kenya.

TANZANIA WASHIKA NAFASI YA PILI NA YA NNE KATIKA FANALI ZA NOKIA

Huyu ndiye Ally Chuma aliyebeba bendera ya tanzania mpaka katika fanali za nokia dont break the beat na kuipatia ushindi nchi yake ya Tanzania kwa kushika nafasi ya pili katika fanali hizo za nokia dont break the beat nchini kenya.

Huyu ni Njama mtandika alifanikiwa kuipatia ushindi nchi yake ya Tanzania kwa kushika nafasi ya nne katika fanali za nokia dont break the beat yaliyofanyika nairobi nchini kenya.

Vijana wamefanya kazi nzuri sana katika fanali za nokia dont break the beat kwa kuipatia nchi yao ushindi wa nafasi ya pili na ya nne nchini kenya.

AY APATA SHAVU LA KUWA BALOZI WA AIRTEL
Msanii anayefanya vizuri katika upande wa muziki hapa nchini hata East Africa huyu si mwingine namzungumzia AmbweneYessaya a.k.a AY.Habari nzuri ni kwamba msanii huyu amepata shavu la kuwa balozi wa airtel kuanzia mwaka huu mpaka 2013.Airtel walisema kwamba japokuwa msanii huyu amekuwa balozi wao pia atakuwa akionekana katika matangazo ya airtel ambayo yatakuwa yakirushwa kwenye television pamoja na Billbords mbalimbali.Airtel hawakuishia tu hapo kwani walimpatia Samsung galaxy tab7.0 pamoja na mordem ambayo yenye internet ya mwaka mmoja na mkwanja mrefu.



VOTE FOR CAMP MULLA IN ANY OF THE CATEGORIES IN THIS YEARS CHANNEL O MVA's


DIAMOND MAPOKEZI WASHINGTON DC MAREKANI

Diamond platinum wa wasafi akiwa ndani gani baada ya mapokeziWashington DC nchini marekani hatuna tatizo naye bhaaaasssssssssss.

 Diamond akiwa nchini marekani Washington dc akifanya vitu vyake kwa mashabiki wake waliokuja katika show yake huko nchini marekani.


Diamond kwenye stage sasa akiwaambia mashabiki wake haya wale wa moyo wangu sasa tuimbe wote haya twendeee.hiyo ni show ya diamond nchini marekani pamoja na dancer wake.

Diamond wa wasafi akiimba na mashabiki wake nchini marekani Washington Dc.


OFFICIAL VIDEO TREY SONGZ FT YOUNG JEEZY,LIL WAYNE HAIL MARY.

Dogo janja akiwa na bastora

Ray c atua Tanzania,amekuja na nini,usikose kutembelea blog hii kujua vitu alivyokuja navyo Ray c 
kutoka kenya.



















Magezeti ya michezo















Friday, September 7, 2012

Pata habari za Udaku

Aunt akionesha mambo yake kwenye fiesta ya Musoma,pembeni 
Steve Nyerere akimshangaa aunt akikata mauno










Thursday, September 6, 2012

CCM YATOA TAMKO KWA MAUAJI YA MWANDISHI WA HABARI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Moses Nnauye akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari jijini Mwanza jana.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Itakumbukwa tarehe 02/09/2012 katika operesheni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) mkoani Iringa kulitokea vurugu zilizosababisha kuuawa kwa mwanahabari mzoefu


REFARII MLEMAVU AWA KIVUTIO MECHI YA SOKA MWANZA


ALIYEVUNJA NDOA YA DIDA NI HUYU


ALICHOSEMA PRODUCER MANECK BAADA YA KUONA DOGO JANJA ANATAKA KUMGOMBANISHA NA MARCO CHALI.
Maneke akanusha madai ya Dogo janja na kusema ajasema kuwa makochali ajui kitu,,
Maneke aseama Dogo janja anataka kutugombanisha.
Nitamtafuta Dogo janja athibishe kauli yake..........



WALE WA MAN U, HII NDIO MECHI YA KWANZA ATAKAYOCHEZA MWANARIADHA MJAMAICA USAIN BOLT KAMA MCHEZAJI WA MAN U.





Ongeza siku kwakufucheka na katuni



Dar Live


Dr. Dre aongoza kwa Utajjiri wa Hip Hop Cash Kings kwa 2012

http://www.bongo5.com/dr-dre-aongoza-kwa-utajjiri-wa-hip-hop-cash-kings-kwa-2012-09-2012/

soma story kubwa za magazeti from millard ayo

http://millardayo.com/zisome-hapa-stori-kubwa-za-magazeti-leo-sept-6-ya-udaku-michezo-na-hardnews/