Adam a.k.a Baba john na Salama wakiwa na furaha baada ya kuchukua ushindi wa nafasi ya pili na ya nne katika fanali za nokia dont break the beat nairobi nchini kenya.
TANZANIA WASHIKA NAFASI YA PILI NA YA NNE KATIKA FANALI ZA NOKIA
Huyu ndiye Ally Chuma aliyebeba bendera ya tanzania mpaka katika fanali za nokia dont break the beat na kuipatia ushindi nchi yake ya Tanzania kwa kushika nafasi ya pili katika fanali hizo za nokia dont break the beat nchini kenya.
Huyu ni Njama mtandika alifanikiwa kuipatia ushindi nchi yake ya Tanzania kwa kushika nafasi ya nne katika fanali za nokia dont break the beat yaliyofanyika nairobi nchini kenya.
Vijana wamefanya kazi nzuri sana katika fanali za nokia dont break the beat kwa kuipatia nchi yao ushindi wa nafasi ya pili na ya nne nchini kenya.
AY APATA SHAVU LA KUWA BALOZI WA AIRTEL
Msanii anayefanya vizuri katika upande wa muziki hapa nchini hata East Africa huyu si mwingine namzungumzia AmbweneYessaya a.k.a AY.Habari nzuri ni kwamba msanii huyu amepata shavu la kuwa balozi wa airtel kuanzia mwaka huu mpaka 2013.Airtel walisema kwamba japokuwa msanii huyu amekuwa balozi wao pia atakuwa akionekana katika matangazo ya airtel ambayo yatakuwa yakirushwa kwenye television pamoja na Billbords mbalimbali.Airtel hawakuishia tu hapo kwani walimpatia Samsung galaxy tab7.0 pamoja na mordem ambayo yenye internet ya mwaka mmoja na mkwanja mrefu.
VOTE FOR CAMP MULLA IN ANY OF THE CATEGORIES IN THIS YEARS CHANNEL O MVA's
DIAMOND MAPOKEZI WASHINGTON DC MAREKANI
Diamond platinum wa wasafi akiwa ndani gani baada ya mapokeziWashington DC nchini marekani hatuna tatizo naye bhaaaasssssssssss.
Diamond akiwa nchini marekani Washington dc akifanya vitu vyake kwa mashabiki wake waliokuja katika show yake huko nchini marekani.
Diamond kwenye stage sasa akiwaambia mashabiki wake haya wale wa moyo wangu sasa tuimbe wote haya twendeee.hiyo ni show ya diamond nchini marekani pamoja na dancer wake.
Diamond wa wasafi akiimba na mashabiki wake nchini marekani Washington Dc.
OFFICIAL VIDEO TREY SONGZ FT YOUNG JEEZY,LIL WAYNE HAIL MARY.
Dogo janja akiwa na bastora
Ray c atua Tanzania,amekuja na nini,usikose kutembelea blog hii kujua vitu alivyokuja navyo Ray c
kutoka kenya.
No comments:
Post a Comment