HII NDIYO TATOO MPYA YA LADY GAGA

Kupitia katika website ya msanii huyu namzungumzia Lady gaga A.k.A Mother monster kutoka pande za state ali post katika mtandano wake na kuweka picha hii na kusema kwamba amepiga new tatoo ambazo tatoo hizo kwa hapa bongo zinafahamika kwa jina la Nanga.
HII NDIYO WEBSITE MPYA YA MR NICE
Ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri sana katika game la bongo fleva hapa bongo land hata nje ya Tanzania.Namzungumzia Mr nice msanii huyu ameamua kufungua website yake ambayo itakuwa inaonyesha burudani zake pamoja na kazi zake anazozifanya katika game la muziki.kuanzia video,muziki na vitu vingine.Kuanzia sasa unaweza uka google website yake kwa kupitia www.mrnicebongo.com
HII NDIYO WEBSITE YA DULLY A.K.A SUPER STAR
No comments:
Post a Comment