Kocha wa zamani wa Barcelona Tito Vilanova amefariki akiwa na miaka 45, imetangaza Club hiyo.
Katika statement waliyoitoa Barca wamesema: " Club inatoa pole juu ya
kifo cha TitoVilanova, ambae amefariki leo hii akiwa na miaka 45,
Barcelona.
Vilanova, Midfielder wa zamani, alikuwa akiugua ugonjwa wa saratani ya
koo kwa zaidi ya miaka 2, ugonjwa uliomlazimisha kuachia ngazi kama boss
wa barca.
Vilanova alichukua madaraka kwa Guardiola mwanzoni mwa msimu wa
2012/2013, lakini alilazimka kuchukua likizo ya miezi minne kati ya
December 2012 na April 2013 kwa ajili ya matibabu nchini Marekani, na
kutibiwa.
Vilanova ambae alilazwa katika hospitali iliyoko Barcelona wiki iliyopita ameacha mke na watoto wawili
No comments:
Post a Comment