Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, amejiuzulu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, amejiuzulu bungeni hivi
punde baada ya kutakiwa na wabunge awajibike kwa vitendo viovu
vilivyofanywa na wanausalama wakati wa Operesheni Tokomeza!
No comments:
Post a Comment