Mbunge
wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Machali, ameingia na fomu bungeni
hivi punde kwa ajili ya kukusanya saini za wabunge za kutokuwa na imani
na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, baada ya ripoti iliyofichua maovu
yaliyofanyika katika Operesheni Tokomeza.
No comments:
Post a Comment