Ratiba nzima ya movie kuanzia 13 hadi 19 September kwenye theater za Dar na Arusha ipo hapa
Wiki hii movie mpya inayoonyeshwa wiki hii kwenye theaters za hapa
Tanzania ni Pain and Gain. Movie hii ni true story ambayo ilitokea huko
Miami, angalia hapa trailer yake na ukaangalie kwenye theater uipendayo
No comments:
Post a Comment