Raisi wa Manzese, Madee anatarajia kuhamia Mbezi sasa, na huko sijui
kama atakuwa Raisi au niaje niaje. Nasema hivyo kwasababu Madee
ameonyesha picha ya mjengo wake uliokamilika kwa asilimia kubwa uliopo
maeneo ya Mbezi jijini Dar.
kukamilika kwa mjengo huo kumetokana na mafanikio makubwa aliyoyopata baada ya kukubalika kwa single yake "Pombe Yangu"
hiki ndicho alichokiandika madee
"siri ya utajiri ni ubahiriii#hahaha welkam white houze@mbezi dsm#"
No comments:
Post a Comment