Msanii H Baba na mkewe Flora Mvungi wamefanikiwa kupata mtoto wa kike
jana jioni majira ya saa 12:30 katika hospitali ya Maria Stope iliyopo
Mwenge jijini Dar es Salaam.
Kama unakumbuka hapo awali H Baba alisema kama akifanikiwa kupata mtoto
wa kike au kiume basi atampa jina 'Tanzanite' hatimaye amefanikiwa
kupata wa kike na kumpatia jina la Tanzanite.
No comments:
Post a Comment