Azam FC leo wameizima Yanga SC baada ya kuilaza kwa mabao 3-2 kwenye
mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Mabao
ya Azam yamefungwa na John Bocco, Kipre Tchetche na Joseph Kimwaga
wakati ya Yanga yakiwekwa kimiani na Didier Kavumbagu na Hamis Kiiza.
Kwa matokeo haya, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Yanga SC
wanaendelea kusuasua baada ya kutoka sare mbili kwenye mechi zao
zilizopita mkoani Mbeya dhidi ya Mbeya City na Prison.

No comments:
Post a Comment