tiiiiiiili
tili ntiliti, siiiiri imefichuka...inasemekana baada ya kutoa ngoma kadhaa ya
kuwaponda watu kwa kuwaambia ukweli ulio na maneno makali kiaina, studio
anayorekodia Ney wa mitego inayoitwa Shyne Rcords imeandikiwa barua na Basata
ya onyo na kupewa siku tano kuonana na basata huku ikituhumiwa kutengeneza ngoma
zenye kutukana watu
Mnager wa
studio hiyo amesema kuwa michongo hiyo yote itakua imefanywa na maadui wakubwa
wa Ney kwenye ngoma zake ambao ni wasanii wa Bongo Movie wametia ndio
wamesababisha yote hayo na kuwatuhumu kwa matunguli " yaani sasa hivi unakuta
mauza uza tu mara mixer inazima mara amplifaya bila sababu yoyote ila
watashindwa tu kwa jina la Yesu." amesema manager huyo..
zaidi
msikilize Gossip Cop hapo chini
No comments:
Post a Comment