Mitandao kadhaa ukiwemo wa TMZ
imeripoti kutokea kwa ajali ya gari ikimhusisha Bad Boy Diddy maeneo ya Bevery
Hills
maaskari waliofika eneo la
tukio walisema kuwa kila mmoja aliehusika katika ajali alionekana kulalamika
kuumia akiwemo Diddy, dereva wake na dereva wa gari lingine, na kudai kuwa bado
haijajulikana wameumia kiasi gani lakini hakuna hata mmoja aliepelekwa hospitali
licha ya ambulance kufika eneo la tukio
No comments:
Post a Comment