Wizi mtupuuuuuuuuuu!
Girl: Hellow
Boy: Sweety mambo vip?
Girl: poa
Boy: Utakua free
weekend hii? Nilikua nataka uje home.
Girl: Ooh Sorry, sitoweza
kuja coz kuna harusi ya Aunt yangu na kesho yake kutakua na wageni nyumbani.
Boy: kama ni hivo sawa just nilikua nataka nikufanyie surprise,
nimekununulia Blackberry Torch
Girl: ooh!! Usijali
mpenz wangu ntakuja, hata ukitaka nilale uko uko nitalala
Boy: vipi kuhusu
harusi??
Girl: harusi ipi?? Nilikua
nakutani honey.
Boy: ok, na mimi pia
nilikua nakutania tu.....
No comments:
Post a Comment