Wednesday, September 12, 2012

Habari za Michezo







President wa Sofapaka Elly Kalekwa akimpokea kocha Stewart Hall kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata Nairobi Kenya. (Picha ya michezo Afrika)

Aliekua kocha wa Azam Fc ya Tanzania kabla ya kutimuliwa siku kadhaa zilizopita Stewart Hall ametangazwa kuwa kocha Mkuu wa club ya Sofapaka ya Kenya.
Ndio anachukua nafasi ya kocha Salim Ali ambae alipigwa chini kwenye club hiyo baada ya kuwa na matokeo mabaya.
President wa Sofapaka Elly Kalekwa amesema Stewart anarekodi nzuri ya ukocha ndio maana wamevutiwa kumchukua ambapo akiwa na Azam aliiwezesha kushinda kombe la Mapinduzi, wakamaliza kwenye nafasi ya pili Urafiki Cup, Vodacom Premier League and Kagame Cup.






Magazeti ya Udaku




Saturday, September 8, 2012

HIZI NDIZO PICHA ZA RED CARPET YA MTV MUSIC VIDEO AWARDS

HIZI NDIZO PICHA ZA RED CARPET YA MTV MUSIC VIDEO AWARDS 

Alicia keys naye ni moja kati ya wasanii ambao walikuwepo katika red carpet ya MTV music video awards.


Neyo naye aliamua kufaa nguo ya kipekee kabisa katika red carpet ya MTV music video awards.

Rihanna

Nick minaj naye ndani ya MTV music video awards

Wiz khalifa akiwa na mke wake Amber Rose katika red carpet ya MTV music video awards.kama unavyoona hapo katika picha Amber Rose anaujauzito kwa hiyo Wiz khalifa soon kuitwa Baba.

 Tyga na Big sean wakiwa katika red carpet ya MTV music video awards.

 2 chainz naye akionekana jinsi alivyo shine katika tuzo za MTV music video awards.

NEW SONG KANYE WEST- CLIQUE FT BIG SEAN & JAY-Z


LYNXXX- FINE LADY FT WIZKID [OFFCIAL VIDEO]















HII NDIYO TATOO MPYA YA LADY GAGA

Kupitia katika website ya msanii huyu namzungumzia Lady gaga A.k.A Mother monster kutoka pande za state ali post katika mtandano wake na kuweka picha hii na kusema kwamba amepiga new tatoo ambazo tatoo hizo kwa hapa bongo zinafahamika kwa jina la Nanga.


HII NDIYO WEBSITE MPYA YA MR NICE

Ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri sana katika game la bongo fleva hapa bongo land hata nje ya Tanzania.Namzungumzia Mr nice msanii huyu ameamua kufungua website yake ambayo itakuwa inaonyesha burudani zake pamoja na kazi zake anazozifanya katika game la muziki.kuanzia video,muziki na vitu vingine.Kuanzia sasa unaweza uka google website yake kwa kupitia www.mrnicebongo.com


HII NDIYO WEBSITE  YA DULLY A.K.A SUPER STAR