MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA HABARI BILA KUPOTOSHA UMMA
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa
Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa
Katiba.
Mjumbe
wa Kamati Namba Nne ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Christopher Ole
Sendeka akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati
yake jana 28 Agosti, 2014.
Mjumbe
wa Kamati Namba Tatu ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Francis
Michael akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati
yake jana 28 Agosti, 2014.
Mjumbe
wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu Ally
akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake
jana 28 Agosti, 2014.
Mjumbe
wa Kamati Namba Kumi na Moja, Mhe. Hamad Massauni akiongea na wandishi
wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake jana 28 Agosti, 2014.
(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).
No comments:
Post a Comment