Weekend hii unaweza kuitumia kwa kuangalia hizi movie kwenye theater tofauti.
300 Rise of an Empire ni movie ambayo inategemewa kuangaliwa sana na watu wengi kuanzia kesho kwenye theaters za hapa Tanzania.
Movie hii ambayo itaonyeshwa kwenye 3D imetoka kwa director wa 300 na
Man of Steel. Pamoja na hiyo kuna movie nyingine zitakazoonyeshwa
kwenye muda tofauti.
Cheki hizi ratiba na uchagua movie yako ya kwenda kuangalia kuanzia kesho 14/3/2014
No comments:
Post a Comment