Friday, March 14, 2014

Picha za Ommy Dimpoz akiwa chini ya ulinzi wa polisi Uingereza.. making the video


Screen Shot 2014-03-13 at 4.02.45 PMOmmy Dimpoz amethibitisha kufanya video yake mpya nchini Uingereza chini ya director ambae amehusika kuzifanya video za mastaa kama Fuse ODG, Wizkid na Davido ‘skelewu’
Leo Dimpoz ameshea picha za sehemu ya video yenyewe ambazo inamuonyesha akiwa kwenye ulinzi wa askari wa Uingereza.
Screen Shot 2014-03-13 at 4.03.03 PM

No comments:

Post a Comment