Wajumbe
wa Mkutano kati ya Utepe Mweupe na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo Ikulu.
Mkutano wa Waziri Mkuu na wajumbe kutoka Muungano wa Utepe Mweupe ukiendelea.
Mkutano wa Waziri Mkuu na wajumbe kutoka Muungano wa Utepe Mweupe ukiendelea.
David Lyamuya kutoka Muungano wa Utepe Mweupe akimvisha utepe Mweupe Waziri Mkuu, Pinda.
*Ni kujadili namna ya kupunguza vifo vya wajawazito
No comments:
Post a Comment