Wema na Kajala wakishindana kunengua jukwaani.
Wema Sepetu akiimba na Mirror.
Mastaa wa Bongo Muvi, wakiwa jukwaani pamoja na msanii Mirror.
Msanii Mirror akimchombeza Wolper.
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia onyesho hilo.
Paparazi
wa Global Publishers Shakoor Jongo (mwenye fulana nyekundu) akiwa
katika picha ya pozi na Kalala Junior (kulia) na mashabiki waliohudhuria
onyesho hilo.
UKUMBI wa Club 71 ulioko Tegeta, jijini Dar es Salaam, usiku wa
kuamikia leo ulirindima kwa show bab’kubwa ya msanii Mirror kutoka
kampuni ya Endless Fame aliyesindikizwa na madiva katika Bongo Muvi kina
Wema Sepetu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper.
No comments:
Post a Comment