Wednesday, October 10, 2012

MZIGO UPO KITAANI UNAKUSUBIRI WEWE TU KUJITUPIA

MZIGO UPO KITAANI UNAKUSUBIRI WEWE TU KUJITUPIA
Nafahamu kwamba wewe ni shabiki wangu nambari moja hapa Tzee hata nje Tzee sasa basi ile time ya kujitupia T shirt zangu za Fetty Fetilicious zenye high Qulity ndiyo hii na kama wewe ni mkazi wa hapa Dar es Salaam unaweza ukajisongeza pande hizi hapa na ukajiondokea na T shirt hii kali, Zizzou Victoria,Born2shine Mwenge,Jaffarai car wash Mikocheni karibu na TMJ Hospital bila kusahau wale mashabiki wangu wa A Town city namaanisha Arusha unaweza zako ukajisongeza studio za Dx zinazoitwa Noizmekah.

No comments:

Post a Comment