Miyeyusho na Ramadhani kuzichapa Desemba 9 jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Darworld Links, Mohammed Bawazir
akiwatambulisha kwa waandishi wa habari mabondia Francis Miyeyusho (kushoto) na
Nassib Ramadhani watakaopambana Desemba 9 kwenye Ukumbi wa PTA, Temeke jijini
Dar es Salaam kugombea mkanda wa Ubingwa wa Mabara wa WB Forum, pambano hilo la
uzito wa kilo 53.
Bondia Francis
Miyeyusho akisaini mkataba wa kupambana na Nassib Ramadhani (wa pili kulia). Anayeshuhudia
kulia ni Mwanasheria Nyasebwa Berious wa Kampuni ya Member Law Attorneys (MLA).
Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Darworld Links inayoandaa pambano hilo , Mohammed Bawazir.
No comments:
Post a Comment