Wednesday, October 10, 2012

KANYE WEST AJICHUKULIA TUZO SITA NDANI YA BET AWARDS 2012

KANYE WEST AJICHUKULIA TUZO SITA NDANI YA BET AWARDS 2012
Naweza kusema kwamba msanii ni moja kati ya wasanii wakali kwa upande wa muziki wa Hip Hop nchini American.Sasa kama unakumba ile siku ya tarehe 29 mwezi wa Septemba ndiyo ilikuwa siku ya kugawa Tuzo za Bet Hip Hop Awards 2012 kwa wasanii walifanya vizuri katika game la muziki nchini American lakini show hiyo bhana dzain aikuruka hewani kwani zilirekodiwa sasa jana bhana ndiyo dzain waliweka matokeo ya wasanii ambao waliojichukua tuzo hizo.Baada ya kuwekwa matokeo hayo sasa mtu mzima Kanye west akaonekana amejichukulia Tuzo sita za BET Hip Hop Awards 2012


Hii ndio List nzima ya Winners wa BET Hip Hop Awards 2012:

Best Hip-Hop Video
Drake (featuring Lil Wayne), “HYFR”
Reese’s Perfect Combo Award
Kanye West, 2 Chainz, Big Sean and Pusha T, “Mercy”
Best Live Performer
The Throne
Lyricist of the Year
Kendrick Lamar
Video Director of the Year
Hype Williams
Producer of the Year
Kanye West
MVP of the Year
Rick Ross
Track of the Year
The Throne, “N—as in Paris”
CD of the Year
The Throne, Watch the Throne
DJ of the Year
DJ Khaled
Rookie of the Year
2 Chainz
Made You Look Award (Best Hip Hop Style)
Kanye West
Best Club Banger
The Throne, “N—as in Paris”
Best Mixtape
Meek Mill, Dreamchasers 2
Sweet 16: Best Featured Verse
2 Chainz, “Mercy”
Hustler of the Year
Jay-Z
Impact Track
Nas, “Daughters”
People’s Champ Award
2 Chainz (featuring Drake), “No Lie”
Best Hip-Hop Online Site
WorldstarHipHop.com

No comments:

Post a Comment