JK aongoza mkutano wa Wafanyabishara wa Oman na Tanzania
jijini Muscat
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
wafanyabiashara wa Oman na Tanzania wakati wa mkutano malum wa uwekezaji
aliouandaa kwaajili ya kuelezea fursa za uwekezaji nchini.Mkutano huo wa
uwekezaji ulofanyika jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya
nje Bernard Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa
Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu
Waziri wa Fedha Janet Mbene.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya
Wafanyabishara wa Oman na Tanzania waliohudhuria mkutano maalum wa uwekezaji
Tanzania ulifanyika jijini Muscat Oman leo .Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika
jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe,Waziri
wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa Kazi,Ushirika na
Uwezeshaji kiuchumi wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet
Mbene.Pamoja na viongozi waandamizi wa
serikali zote mbili.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na mawaziri na maofika wangazi za juu wa Oman
na Tanzania waliohudhuria
mkutano maalum wa uwekezaji uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan jijini Muscat Oman
leo. Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment