DK. NDUGULILE ATEMBELEA MAKANISA YALIYOHARIBIWA
HUKO MBAGALA
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk Faustine Ndugulile
akisalimiana na Makamu Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies Of Gog
Askofu Magnus Muiche wakati alipokwenda kutembelea pamoja na kutoa pole kwa
Makanisa yaliyoharibiwa na Mgogoro wa Kidini ambapo Mbunge alibaini Makanisa
kumi yaliyoharibiwa na Sakata hilo ambapo aliweza kutembelea makanisa yote kumi.
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania KKKT
Dayosis ya Mashariki na Pwani Mtaa wa Mbagala Mch, Frank Kimambo akimwenyesha
Mh Mbunge baadhi ya Sehemu iliyoharibiwa katika Kanisa hilo ambapo alisema kuwa Ofisi yake
ilichomewa kila kiti na hawakuweza kuokoa kitu chochote, na kuongeza kuwa
sehemu nyingine iliyoharibiwa ni Madhabau.
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk Faustine Ndugulile (kulia) akiangalia
gari liliochomwa katika hekaheka hizo.
Kinanda cha Kanisa la KKKT kilichoharibiwa.
No comments:
Post a Comment